Kwenye
Tour yake ya Poz Kwa Poz nchini Marekani Msanii Ommy Dimpoz mkali
kutoka Tanzania amekutana na Msanii 2 Face Idibia kutoka Nigeria
alivyokuwa kwenye show yake huko Los Angeles. 2 Face ameshuhudia show ya
Ommy Dimpoz na baadae wakapiga picha wakiwa pamoja Back Stage.
Ommy I Hope Umezungumza Nae Kuhusu Collabo....
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
0 MAONI :
Post a Comment