Tangaza na Abd Da Hustler

Chris Brown: Mtoto wangu amesababisha niache kuvuta sigara.


Star wa muziki duniani Chris Brown, amefunguka kuwa  mtoto wake Royalty amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye album yake mpya ya Royalty.
Akizungumza kupitia kituo kimoja cha Utangazaji Chris Brown amedai  mtoto wake amembadilisha sana mpaka ameamua kuacha kuvuta Sigara.
“kuacha sigara ndio kitu ambacho nimejaribu na mwaka 2016 nitaacha kabisa”
Katika Line nyingine mkali huyo amesema kila kopi ya album ya Royalty itakayouzwa, dola moja itaingizwa kwenye  mfuko wa kusaidia watoto wa   Children’s Miracle Network Hospital and Best Buddies.
No Comments Yet.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment