Tangaza na Abd Da Hustler

AUDIO: Kesi imemgeukia Lyatonga Mrema, anatakiwa kulipa MILIONI 40 kabla ya tarehe 5 June


Kesi ya Lyatonga Mrema kupinga ushindi wa Ubunge wa James Mbatia jimbo la Vunjo ilikua Mahakamani tena April 4 2016 ambapo jipya lililotangazwa ni kwamba Mahakama kuu kanda ya Moshi imeridhia makubaliano yaliyofikiwa kati ya Mbunge wa Vunjo James Mbatia na Agustino Mrema kwa shauri hilo kuisha na kwamba Mbatia ndiye Mbunge halali wa Vunjo na Mrema atatakiwa kulipa sehemu ya gharama za mawakili wa Mbatia shilingi Milioni 40.

Unaweza kumsikiliza James Mbatia hapa chini akichanganua ishu ya hizo Milioni 40 japo yeye amemsamehe Mrema.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment