Tangaza na Abd Da Hustler

Jamaa ajinyonga kisa kikubwa mkewake...

MAREHEMU DAUDI ALIPO JINYONGA
JAMAA AJINYONGA: WANAWAKE HAWA: Daudi nifundi anaeziba pancha nakujaza upepo matairi ya magari maeneo ya Kurasini jijini dsm, alikuwa akiishi chamanzi na mkewe ambaye alimuoa ila alimkuta tayari kashazaa mtoto 1 ambaye sasa ana umri wa miaka kumi na minne. Daudi alibahatika kuzaanae mtoto mwengine huyo mwanamke sikuzote Daudi alikuwa akiangaika akijua anaangaikia familiya yake. Kumbe yule mwanamke aliludiana kimahusiano ya kimya kimya na mwanaume wake wazamani. Daudi aliweka pesa na mpk kununua kiwanja chake maeneo ya chanika sasa huyo mkewe akaambiwa na mwanaume wake aliyozaa nae mtoto wakwanza wamzurumu kiwanja hicho matokeo yake akafanikiwa . ikawa hadi familiya mwanamke inamchukia Daudi na kumpenda yule mwanaume aliye zaa nae mtoto wa kwanza huyo mwanamke.

Daudi AKAVUMILIA YOTE HAYO ALIKUWA AKIENDA KWAKE ANAMKUTA HUYO MWANAUME anafanya maboz na mkewe wake wa ndoa Daudi alikuwa analea watoto kwa hali yoyote na mkewe wapate kula sasa akawa anasikia kwa watu yakwamba hata huyo mtoto ulie zaanae mkeo sio wako Daudi akavumilia sasa Ikafika situ huyo mwanamke na wazazi wake na majirani walikuwa wengitu ila sio sanaa Daudi kaenda kwake kama kawaida kumuona mwanae kauli aliye ambiwa na mkewe na wakwe zake pia. mke: kwanza sikupendi na huyo mtoto sio wko huwezi kuzalisha na uwezi kuwa na mtoto kama huyu kazi yako kulea watoto wa mwenzako na mwenye mtoto wa kwanza ndiyo mwenye mtoto huyu pia nahivi karibuni anataka kunioa Daudi alitukanwa sanaa na kusimwngwa pamoja na wakwe zake ikabidi aondoke roho ikimuuma hadi kurasini kwa rafiki yake wakalibu: Akamwambia samehe vyote piga moyo konde uanze maisha mapya kumbe Daudi alikuwa anaya moyoni Asubuhi ya j3 talehe 11 mwezi wa 4 aliingia kazini kama kawaida nakufanya kazi kwa pamoja na wenzie ilivyo fika saa 10 jioni wenzie wako nje yeye yuko ndani ya office akachukua kamba nakujinyonga na kuiaga dunia: INALILAHI WAINA LILAHI RAJIUNI MUNGU ATAKULIPIA

VIDEO HAPO CHINI WALIVYOKUWA WANATOA MWILI WA MAREHEMU DAUDI KUUPELEKA HOSPITAL
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment