Tangaza na Abd Da Hustler

VideoMPYA: Rayvanny anayofuraha kukuonyesha video yake mpya ‘Kwetu’


Baada ya uongozi wa WCB kuchelewesha video ya Rayvanny kutokana na sababu ya kuchelewa kutumwa, tayari video imenifikia mtu wangu na imefanywa na director yule yule ambaye amefanya video kadhaa za Diamond Platnumz kama ‘Nana’ na nyingine Godfather.

Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment