Tangaza na Abd Da Hustler

Kauli ya Simba kuhusu golikipa wao kufungiwa miaka 10 kucheza soka na TFF

Bado headlines za uongozi wa klabu ya Simba kuendelea kueleza hisia zao za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF na bodi ya Ligi jinsi wanavyopanga ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara na kuibadili kila siku, mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameongea jipya.

Manara anaamini na anaomba ili haki itendeke ni bora TAKUKURU wakachunguze masuala ya rushwa kwa tuhuma za upangaji wa matokeo ya mechi za Ligi daraja la kwanza, ambazo zinaigusa klabu yao kutokana na golikipa wao Denis Richard aliyekuwa kwa mkopo Geita Gold kufungiwa miaka 10 na kupigwa faini milioni 10.

KAMA ULIIKOSA VIDEO YA MAGOLI YA SIMBA VS COASTAL UNION MARCH 19 2016
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment