Mshambulizi matata wa Barcelona
Lionel Messi na babake wanachunguzwa nchini Uhispania kwa kuilaghai
serikali ya nchi hiyo zaidi ya pauni milioni tatu nukta nne.
Mchezaji huyo kutoka Argentina na babake, Jorge
wanatuhumiwa kuibia serikali ya nchi hiyo, kwa kujaza fomu zizizokuwa za
ukweli za marejesho ya kodi kati ya mwaka wa 2007 na 2009.

0 MAONI :
Post a Comment