Tangaza na Abd Da Hustler

Gucci Mane (@Gucci1017), Awaomba radhi mashabiki wake na watu wote kwa Ujumla

gucci
Rapper wa miondoko ya Hip Hop Gucci Mane, amefungua tena ukurasa wake wa twitter na kuwaomba radhi mashabiki na watu wengine kwa ujumla baada ya kutumia akunti yake hio ya Twitter kulumbana na wasanii wenzake na huku akiendelea kufanya vituko katika maeneo mbali mbali na kufikia hatua ya kukamatwa na mapolisi na kisha kupelekwa Hospitali kwa uchunguzi na matibabu ya matatizo ya kiakili, lakini Rapper huyo kwa sasa anaendelea vizuri na kufikia hatua ya kuomba Radhi kwa kutumia akaunti yake ya Twitter.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment