Rapper kutoka Kenya ameingia matatani baada ya kumpiga Afisa
kutoka Switzerland kwa kutumia kitako cha Bastola yake ndani ya night
club Westlands, Nairobi. Afisa huyo ametoa taarifa hizo kwenye kituo cha
polisi cha Pangani jijini Nairobi, nakusema kuwa rapper huyo alimpiga
na kitako cha Bastola yake katika parking ya magari na kisha kumtishia
maisha kwa silaha hio huku akiwa anavuja damu. Sasa Rapper huyo ameingia
utatani kwa kuwa anatafutwa na polisi kutokana na ugomvi huo uliotokea
ndani ya night club hio.
0 MAONI :
Post a Comment