Tarehe 9/10 kabla hajalala Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega. Picha hiyo amepost na maneno haya “Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!!Kwa upeo Wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza Kuwa watu wako busy kuhumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake…Hivi Mungu angetaka kufanya Kama wanadamu tunavyofanya kungeangaliana kweli….Nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”
Kutana na tatoo mpya ya Elizabeth Michael “Lulu” na alichosema baada ya kuweka hadharani
Tarehe 9/10 kabla hajalala Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega. Picha hiyo amepost na maneno haya “Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!!Kwa upeo Wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza Kuwa watu wako busy kuhumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake…Hivi Mungu angetaka kufanya Kama wanadamu tunavyofanya kungeangaliana kweli….Nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”
0 MAONI :
Post a Comment