Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa
hamko kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa
chochote? Futeni huo uzamani na Mbadilike,
inamaana Mnapenda kuona watu wanauadui....ni muda wa kufanya kazi ili
kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuonekana na chukI zisizo
na faida... I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA..
0 MAONI :
Post a Comment