PROTOCOL
(Agent Of DeTH) hii ni MOVIE mpya ya kibongo inayotarajiwa kutoka siku
za karibuni kidogo, ukizungumzia mabadiliko yanayokuja katika Bongo
Movie hii basi itakuwa moja kati ya bonge maja la Movie kuanzia watu
waliocheza ndani ya Movie hii pamija na editing zilizofanyika mpaka
kuwa yenye ubora wakutimizwa na watu tofauti tofauti. Adam Juma akiwa
kama Direct pamoja na mwigizaji atakayeonekana kwenye hii Movie amesema
alichukuwa mda mrefu na kutuliza kichwa na kuamua kuandaa kitu kama
hiki. mbali na yeye wapo watu maarufu walionekana kama Eddy Juma,
Mapacha Magenge na pia bila kumsahau Video Quuen Hamisa ameonekana
kwenye Movie hii na wengine wengi so stay tune.....INAKUJA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 MAONI :
Post a Comment