Hii ni ajali nyingine ya Toyota Noah, zaidi ya kumi wamefariki hapa
HABARI Watu 13 wamefariki dunia na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wanasafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa uso na lori eneo la Isuna.
0 MAONI :
Post a Comment