1
Mtandao wa kijamii wa facebook, ni mtandao ambao unaweza kuupa nafasi ya dakika 10 na ukajionea vitu tofautitofauti zikiwemo habari, matukio mbalimbali na vituko au vichekesho pia.
Hizi ni sehemu ya picha ambazo nimekutananazo, ni zile picha ambazo mara nyingi huzitarajii.
Kwenye hii picha ya pili kuna mtu wangu kwenye instagram alicomment na kusema huyu jamaa lazima kapewa hili gari na Baba Mkwe.
6
About Unknown
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
0 MAONI :
Post a Comment