Tangaza na Abd Da Hustler

Hii ni ya kesho Ijumaa Dar es salaam mtu wangu! @bballkitaa @IamNchaKALIH


bball
kwa wale ambao hawafahamu ni kwamba ni BBALL KITAA ambalo ni jukwaa la kukuza mpira wa kikapu kitaani pamoja na hip hop music.
Sasa kila Ijumaa moja ya mwezi huwa tuna kitu kinaitwa BBALL KITAA CHINI YA MATAA na ijumaa hii tunatafuta WHO RUNS DSM kwenye swala la kikapu ambapo tutakuwa na game moko kati ya UDSM VS CBE.
game itahappen katika viwanja vya GYMKHANA DAR kuanzia saa 1 usiku na haina kiingilio ndio maana nachukua nafasi hii kukualika, share na wenzako .
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment