Hit maker wa “Pombe Yangu”, Madee ameachia video ya ngoma yake nyingine mpya kwa wapenzi wa muziki wa Bongo flava. Mkali huyu anayeiwakilisha Tip Top Connection, amedondosha kichupa hicho kinachoitwa “Tema Mate Tuwachape” ambacho kimefanywa chini ya usimamizi wa Ogopa Deejays toka Kenya..
Mdundo huo (Audio) mkali umefanyika toka studio za Mj Records..Hii hapa nyingine toka kwa Madee
Mdundo huo (Audio) mkali umefanyika toka studio za Mj Records..Hii hapa nyingine toka kwa Madee
0 MAONI :
Post a Comment