Tangaza na Abd Da Hustler

Picha za Bentley la Fally Ipupa baada ya kupata ajali huko Kinshasa

w430.68de7_644da4c9db6bc8b35e73f19b98dfd2f4
Msanii Fally Ipupa amepata ajali na gari lake aina ya Bentley huko Kinshasa ambapo mtu mwingine aliekuwa kwenye gari lingine ameumia na kukimbizwa hospitali.
Fally Ipupa hajaumia kutokana gari lake kuwa na airbag ambazo zilimsaidia baada ya ajali hiyo kutokea.
Hizi hapa ni picha za gari la Fally Ipupa baada ya ajali
1525436_1389491214640324_1833902906_n
ciPbjw1389212507
fally-acc2-300x300
GqQFFb1389212400
jyk9bW1389213892
K783GC1389213815


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment