Tangaza na Abd Da Hustler

“BREAKING NEWS!!The WORLD’S BEST Tequila Has Arrived” – Maneno Kutoka Kwa Rapper Diddy

dt
Baada ya kuwaletea mashabiki wake kinywaji aina ya Ciroc Vodka katika flavor tofauti tofauti, rapper Sean Comb AKA Diddy ameamua kuachia kinywaji kipya kabisa cha kifahari kwa wale wapenzi wa kuishi maisha ya high life… msanii huyu amewaletea brand new Tequila aliyoipa jina la DeleonTequila.
d
Sean Comb kupitia mtandao wa Instagram amepost baadhi ya picha za bidhaa hizo mpya za tequila. Pia msanii huyu alitumia mtadao huo kuwaonyesha dunia Business Partner wake  Larry Schwartz, mbaye anashirikiana nae katika biashara hiyo mpya ya tequila!
ds
Larry Schwartz & Sean Comb/Diddy
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment