Waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli
Mh Edward Lowassa akifungua kibambaa kuashiria uzinduzi wa bwawa kubwa
la maji la Leken katika kata ya Seleli wilayani Monduli leo Ijumaa.Bwawa
hilo ambalo limegharimu kiasi Cha shilingi bilioni moja unusu, lina
ukubwa wa kilomita tatu.
Mh Lowassa na mkewe wakivishwa nguo za
kimasai ikiwa ni ishara ya shukrani kutoka kwa wananchi wa Seleli,kwa
kufanikisha ujenzi wa bwawa hilo ambalo ni mkombozi mkubwa kwa wakaazi
wa eneo hilo an maeneo ya jirani
0 MAONI :
Post a Comment