Mkorea PSY ambaye wiki iliyopita video ya wimbo wake wa Gangnam Style
ilivunja rekodi YouTube baada ya kutazamwa zaidi ya mara bilioni mbili,
ameachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Snoop Dogg unaitwa
Hang Over.Sikiliza na Download hapa...
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
0 MAONI :
Post a Comment