Tangaza na Abd Da Hustler

Video: Baada ya kuvunja record YouTube, PSY aachia video mpya akiwa na Snoop Dogg 'Hang Over'

Mkorea PSY ambaye wiki iliyopita video ya wimbo wake wa Gangnam Style ilivunja rekodi YouTube baada ya kutazamwa zaidi ya mara bilioni mbili, ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Snoop Dogg unaitwa Hang Over.Katika video hiyo, PSY na Snoop Dogg wanajaribu kuonesha madhara ya kuamka na hang over ya pombe ambapo yanaonekana magari yakigongana asubuhi kwa kuwa madereva wana hang over. Video imekaa kiucheshi kama kawaida ya video za PSY.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment