Tangaza na Abd Da Hustler

Sikiliza na Download wimbo Mpya: BHitz Feat. DJ Choka, Mabeste, Deddy& MRap- Chapa Mitaa


Ile ladha ya timu kali ya B’Hitz ilitajwa na wengi kama timu bora ya wasanii na watayarishaji wa muziki kuwahi kutokea Tanzania imerudishwa tena kwa mashabiki.
BHitz imeachia wimbo mpya uliofanywa na wasanii wa zamani wa label hiyo, unaitwa ‘Chapa Mtaa’ ambao umewashirikisha wakali hao.
MRap Lion, DJ Choka, Gosby, Mabeste na Deddy.
Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Pancho Latino na Hermy B.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment