Tangaza na Abd Da Hustler

UCHAGUZI MKUU CUF WAFANYIKA


10492473_953411771339908_4317336182925017601_n
Mkutano mkuu wa Chama cha wananchi CUF Taifa umewachagua tena Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho na Professa Ibrahimu Lipumba kuwa mwenyekiti wa chama hicho, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa mujibu wa kura zilizopigwa, maalim Seif Sharif hamad amepata kura 675 za ndiyo, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa na Prof. Ibrahim Lipumba amepata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4.3.
Source: EATV
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment