COUTINHO NDANI YA DAR, SASA YANGA MAMBO BOMBA! Kitaifa
BAADA
ya kocha mpya wa klabu ya Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo kuwasili jana
nchini pamoja na msaidizi wake Leonadro Martins Neiva , mchana wa leo
kiungo mshambuliaji Andrey Macrcel Ferreira Coutinho tayari yupo ndani
ya Dar.
Coutinho amewasili mchana wa leo kwa shirika la Ndege la Afrka Kusini tayari kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Young Africans kwenye maandalizi ya msimu mpya wa 2014/2015
Coutinho amewasili mchana wa leo kwa shirika la Ndege la Afrka Kusini tayari kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Young Africans kwenye maandalizi ya msimu mpya wa 2014/2015
0 MAONI :
Post a Comment