Tangaza na Abd Da Hustler

vunja mbavu zako

DOGO: Samahani, saa hizi saa ngapi?
BAUNSA: Saa nane na nusu
DOGO: Ok, ikifika saa tisa kamili, nitakushika tako
BAUNSA: Umesema nini we mtoto?
Baunsa akaanza kumfukuza yule mtoto, baada ya mitaa miwili mtoto akakimbilia kwenye nyumba ya babu mmoja aliyekuwa amekaa nje anaota jua, Baunsa nae akafika pale;
BAUNSA: Babu nakitaka kile kitoto kilichokimbilia humu kwako
BABU: Kwani kuna nini unakifukuza hivyo
BAUNSA: Hiki kitoto kimesema eti ikifika saa tisa kamili kitanishika tako
BABU: Sasa wasiwasi wa nini mbona saa tisa bado?
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment