Tangaza na Abd Da Hustler

Kuna taarifa za staa huyu kuwa ana ujazito…

Staa ambaye ni moja ya wachache waliowahi kuwa na headlines nyingi zaidi mwaka 2014, hii inakuwa moja ya story kubwa ambayo anafungia mwaka huu.

Ya mwisho mwisho kuisikia ilikuwa negative, ile ya kumpiga ngumi mpiga picha wakati akitoka kula bata,  nyingine ambayo anayo leo ni kama imekaa positive hivi.

Tetesi zimesikika, eti Rihanna ana ujauzito wa Rapper Drake na mashosti zake wamethibitisha hilo kwa kusisitiza kwamba mwanadada huyo yuko busy zaidi kwa wakati huu akiandaa wimbo wake mpya atakaomwimbia mtoto wake huyo mtarajiwa.

Inasemekana kuna mashairi aliyoyaimba yakiwa na maneno; ‘the baby growing inside me‘, anamaanisha au nd’o namna ya kutafuta kuzungumziwa?

Hjazungumza chochote mpaka sasa, ila kama anayo tutajua tu.

Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment