Tangaza na Abd Da Hustler

Watu 30 wauwawa Nigeria

Waokoaji na wakazi wakikutana katika eneo la tukio la mlipuko wa bomu katika soko katikati ya mji wa Jos

Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.

Milipuko hiyo imetokea wakati kukiwa na mkusanyiko mkubwa Tkatika eneo la soko karibu na mahala ambapo mwezi mei mwaka huu palitoekaa mli[puko pia.

Mji wa Jos unamchanganyikowa wa Waislam na Wakristo kwa kiasi kikubwa na hivi karibu kundi la Boko Haram walivamia na kushambulia kanisa na msikiti katika mji huo.

Hata hivyo kwa tukio hili hakuna kundi la kigaidi lililokiri kuhusiaka.

Jumatano wiki hii pia watu wanne waliliripotiwa kuuawa katika bomu la kujitoa mhanga huko Kano,lakini mwezi uliopita zaidi ya watu 100 waliuawa kwa kupigwa risasi katika moja ya Misikitiki mikubwa ya mji huo.

Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment