Tangaza na Abd Da Hustler

Ni Happiness Watimanywa… Tanzania kwenye rekodi nyingine kubwa Miss World 2014

Watanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.

Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Happiness kaandika hivi; “Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa

 

 

Zoezi la upigaji wa Kura litasitishwa leo December 14, jioni ambapo Fainali hizo zitakuwa zinafanyika London, Uingereza.

Unaweza kuendelea kumpigia kura mshiriki huyo ili arudi na Taji la Miss World 2014.

Nitaendelea kukupatia kila stori 

Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment