Miongoni mwa vijana wabunifu nchini Tanzania
Vijana wilayani Sengerema mkoani Mwanza Tanzania, wamebaini mbinu mpya ya matumizi ya chupa za plastiki.
Mbinu hiyo imesababisha taka ngumu kugeuka bidhaa na kusakwa popote zilipo.
Kwa mjibu wa shirika la Elimu living laboratory ambao wamegundua ujenzi wa matenki ya kukinga maji ya mvua wanasema matumizi hayo mapya ya chupa hizo yamechangia kuimarisha usafi.
Ugunduzi huo utasaidia kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa mazingira kutokana na kuzagaa kwa taka ngumu.
0 MAONI :
Post a Comment