Star wa muziki duniani Chris Brown, amefunguka kuwa mtoto
wake Royalty amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye album yake mpya ya
Royalty.
Akizungumza kupitia kituo kimoja cha Utangazaji Chris Brown amedai mtoto wake amembadilisha sana mpaka ameamua kuacha kuvuta Sigara.
“kuacha sigara ndio kitu ambacho nimejaribu na mwaka 2016 nitaacha kabisa”
Katika Line nyingine mkali huyo amesema kila kopi ya album ya Royalty itakayouzwa, dola moja itaingizwa kwenye mfuko wa kusaidia watoto wa Children’s Miracle Network Hospital and Best Buddies.

0 MAONI :
Post a Comment