skip to main |
skip to sidebar
Na Gladness Mallya
STAA
wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la
ndondi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu
lao.
Akipiga
stori na paparazi wetu mapema wiki hii, Baby alisema amechoshwa kusikia
tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane
ulingoni ili amuoneshe cha mtema kuni.
“Asiniambie
mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye, arudi shule au akauze
vipodozi. Najua kuimba, kuigiza na ni msomi yeye anaweza hayo? Kimsingi
naomba pambano nimtandike ulingoni,” alisema Baby Madaha.
Source:Global Publisher
About Unknown
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler

0 MAONI :
Post a Comment