Tangaza na Abd Da Hustler

Picha za Diddy na Cassie mapenzini!! ziko za Diddy na watoto wake pia


diddy 13
Pamoja na kwamba staa wa hiphop longtime kitambo P Diddy anakwambia hajakaribia hata kufikiria kuoa wakati huu ambao mwezi ujao anafikisha miaka 44 ya kuzaliwa, inaonekana amezama mapenzini kwa mtoto Cassie ambae ni mwimbaji.
Mwanzoni walikua sio wawazi sana kwenye mapenzi yao na hata wanapohojiwa walikua wakikwepa ila siku hizi mambo yamebadilika, hakuna siri tena na wamekua wawazi pia kupitia mitandao yao ya kijamii kama Instagram.
Basi hizi picha zinawaonyesha wakiwa nyumbani na mrembo Cassie akifanya foot massage na baadae wakiwa wamelala.
Kwa taarifa yako tu Diddy ni baba wa watoto sita na amewapata na Wanawake tofautitofauti.
Diddy 12
Hizi hapa chini ni baadhi ya picha za Diddy akiwa na baadhi ya watoto wake.
12
p Diddy na mapacha marc 2013 2
p Diddy na mapacha marc 2013


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment