Tangaza na Abd Da Hustler

[Brand New Audio] Grace Matata – Uwe Wangu

GRACE 1
Baada ya kusubiri kwa takribani wiki kadhaa, hatimaye siku imewadia. Ni Leo, Ijumaa ya Januari 17. Dakika chache zilizopita, Grace Matata ameachia ngoma yake iitwayo “Uwe Wangu” iliyokuwa ikisubriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki wake .Ni track yenye mahadhi mazuri ya mapenzi…
Grace anaendelea kufanya vizuri baada ya vibao vyake kama “Free Soul” na “Wimbo Wangu” kuendelea kutikisa chati mbalimbali za muziki wa kizazi kipya..
Isikilize na DOWNLOAD  hapa…Enjoy It





Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment