Tangaza na Abd Da Hustler

[New Audio] Ziggy Dee ft. Belle 9 – Baby Gal

ZIGGY DEE - BABY GAL
Ni muungano wa wakali kutoka nchi mbili za Afrika Mashariki, Ziggy Dee kutokea Uganda akimshirikisha Belle 9 toka Tanzania…Ziggy Dee amekuwa kimya kwa mda mrefu kidogo, ila amerudi tena na hii. “Baby Gal ”ndiyo jina la ngoma yenye mahadhi ya Dance Hall/ Ragga..
Isikilize na DOWNLOAD hapa..


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment