Tangaza na Abd Da Hustler

Pale mtoto wa miaka 12 alipoitwa na Jay Z kwenye stage, akachana!


jayzrapper
 Ni mtoto wa miaka 12 anaitwa Justin Kyler ambae aliingia kwenye show ya Jay Z huko North Carolina na kukaa kwenye siti za mbelembele akiwa na bango lenye maandishi ya kuomba kumuonyesha Jay Z uwezo wake kwenye kurap.  ‘Can I rap for you?
Unaambiwa hii ishu haikua imepangwa, ni kweli huyu mtoto alikua na ndoto sana za kutambulika na Jay Z ndio maana akamsisitizia mama yake kumpeleka kwenye hii show, baada ya kumuona Jay Z aliamua kumuita kwenye stage na hiki ndicho alichofanya.
Video zote hizi mbili hapa chini zinahusika


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment