Tangaza na Abd Da Hustler

Samia Hassan achaguliwa kuwa makamu mwenyekiti bunge maalum la katiba, wajumbe kuapishwa leo

Wajumbe wa bunge maalum la katiba wamemchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamu mwenyekiti wa bunge hilo, hivyo atakuwa makamu wa Samwel Sitta ambaye alichaguliwa juzi kuwa mwenyekiti.
Akitangaza matokeo hayo msimamiziw a uchaguzi, katibu wa bunge Dr. Thomas Kashilia alismea  Samia Hassan alipata kura 390 na mgombe mwenzake Amina Abdala Amur amepata kura 126.
Leo wajumbe wote pamoja na mwenyekiti na makamu wake wataapishwa.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment